CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Monday, December 20, 2010

WAKATI WA SIKUKU TUSIWASAHAU WATOTO YATIMA NA WALIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU


Wakati wa sikukuu ndio huu unakaribia hivyo tunawaomba na kuwakumbusha wananchi kuwa msiache kutoa msaada walau hata wa kilo moja ya mchele kwa familia zenye uhitaji maana tumehimizwa sana kwenye vitabu vitakatifu kutoa fungu la kumi, hivyo baada ya kwenda kupata bia tuwakumbuke ndugu zetu hawa. ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.

No comments:

Post a Comment