CONTACT US: Mobile : 0755 484866 EMAIL : socialworkertz@yahoo.com
Friday, May 20, 2011
KASHESHE YA DALADALA JIONI YA LEO
Hizi ni taafulani za hapa na pale zilizo zoeleka kwenye mji wa Dar es salaam wananchi wamembana konda arudishe pesa yao ya nauli mara baada ya gari kuharibika kabla ya kufika mwisho wa safari.
No comments:
Post a Comment