Chuo cha ustawi wa jamii ni miongoni mwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya taaluma adimu sana hapa nchini ambazo zina umuhimu mkubwa sana katika ulimwengu wa ajira. Kinachonikera mimi ni majungu yaliyojaa kwenye menejimenti ya chuo hiki na tamaa ya madaraka na kudumaza ukuaji wa chuo hiki.Hebu acheni majungu msimame kwenye mipango mikakati yenu ya kukipanua na kukikuza chuo katika taaluma na miundo mbinu yake badala ya kukaana kujadili maslahi yenu zaidi.
No comments:
Post a Comment