
Habari toka east africa redio zimesema kuwa majambazi wamevamia hospitali ya taifa ya muhimbili na kufanikiwa kuondoka na pesa ambazo zilikuwa zinapelekwa kwa muhasibu asubuhi ya leo, taarifa zaidi zina sema kuwa ameuawa mtu mmoja ambaye alikuwa nimlinzi wa hizo pesa aliyekuwa ndani ya gari. Kwa taarifa zaidi tuna msubilia msemaji wa jeshi la polisi.
No comments:
Post a Comment