
Mchina akiwasili toka baharini na mzigo wake wa kaa, kaa hao wametafutwa na akina mama wa kitanzania ambao ulipwa ujira kwa kazi ya kuwa tafuta kaa hao baharini.

Mchina akikagua mzigo wake kama uko salama

Binti wa Kitanzania ambaye ni muhudumu wa hoteli hiyo iliyoko ufukweni mwa bahari ya hindi akiwashangaa kaa hao huku akiwa katika hali ya wasiwasi. majina ya wachina hayakufahamika mara moja kwani waligoma kutaja majina yao na wala kusema hao kaa wanaenda kuwafanyia kazi gani.
No comments:
Post a Comment