CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Wednesday, September 14, 2011

PONGEZI KWA AKINA MAMA


....Big Up Kwa Wewe Mama Uliyekimbiwa Na Mzazi Mwenzako Lakini Mpaka Sasa Mtoto Anapata Mahitaji Yote Muhimu Bila Msaada Wa Upande Wowote...Hongera Kwa Kuuonyesha Ulimwengu Ujasiri Wako Na Kuwapa Wengine Tumaini Kuwa Maisha Kuna Wakati Yanawezekana Kama Usipokata Tamaa Na Kulaumu/Kujuta...Hongera Kwa Kumfanya Mtoto Awe Proud Nawe Popote Anapokwenda...

No comments:

Post a Comment