
Duh! Mbona hii habari inatisha. Eti wanawake waathirika wa UKIMWI wanaotumia zile sindano za uzazi wa majira wanaweza kusambaza virusi vya UKIMWI kwa wanaume wao. Utafiti unaonyesha kuwa kuna hatari zaidi ya wao kuambukiza kuliko wasiotumia! Pia wanasema kuna vidonge vya uzazi wa majira ambayo unaongeza uwezo wa mwanamke mwathirka kumwambukiza mwanaume.
Lakini pia wanasema kuwa mwanamke akitumia uzazi wa majira na si mwathirika wa UKIMWI, basi ni rahisi yeye kuambukizwa virusi na mwanaume aliyeathirika!
Ajabu ni uzazi wa majira ambayo inatumika Afrika tu! Bado hamjaamini kuwa UKIMWI ulitengenewa maalum katika maabara ya wazungu ili kumaliza waafrika?
Mungu Atunusuru!
***************************************************************************
KUTOKA THE GUARDIAN UK.
No comments:
Post a Comment