Taratibu za kujiunga na chuo cha ustawi wa jamii kwa wale waliokuwa wameomba kujiunga na chuo hicho kwa mwaka huu ni kuwa muda wowote kuanzia sasa tarehe ya taratibu za kusaili na kutambua mazigira itatangazwa.
Na majina ya watu walio chaguliwa yatawaijia hivi punde. endeleea kusoma blog yako ya ustawi wa jamii.
Social workerTZ Team
Dar es salaam
socialworkertz@yahoo.com
jamani mi nimmoja ya waliyoomba hapo chuoni,kama vpi tusaidie wengine kutuwekea majina ya waliyochaguliwa,
ReplyDeletehi. gazeti la daily newz limetoa hayo majina bat mbona tuliomba degree ya hr hatuoni majina, kama vip yawekeni kwenye net basi
ReplyDeletemi ni mmoja wa watu ambao wanapenda sana kujiunga na chuo hiki ila sijui njisi ya kijiunga naomba mnisaidie
ReplyDeleteNAONA KUTAKA KUJUA UNAPOTAKA KUJIUNGA NA CHUO CHA USTAWI WA JAMII UNAFANYAJE!
ReplyDeleteNAOMBA KUJUA UTARATIBU WA KUIUNGA NA CHUO
ReplyDeletejamani nauliza kwa mara ya pili hivi unapotaka kujiunga na chuo cha ustawi unafanyaje maana nahangaika lakini sipati jibu na wala hao waliouliza hawapati majibu kwenye reply sasa me naomba majibu tafadhali kwenye email yangu priscytay@hotmail.com
ReplyDeleteSisi tunaoisha mbali na chuo fomu za kujiunga tupata wapi au tuandike barua?
ReplyDeleteKama uko nje ya Dar es salaam unatakiwa kumuagiza ndugu ama jamaa yako yeyote aliyeko Dar es salaam akakuchukuilia fomu choni akutumie uzijaze kisha unamtumia anazirudisha shule.
Deletenaomba kujua taratibu za kujiunga na chuo
ReplyDelete