CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Monday, July 2, 2012

KAULI YA RAISI NA MTAZAMO WA BARAKA MWAGO JUU YA MGOMO WA MADAKTARI


Hivi madaktari wanadai pesa pekee? katika madai yao yaliyekelezwa ukiondoa kuwaondoa viongozi wabadhirifu wizarani mengine yametekelezwa kwa kiasi gani? Serikali haina uwezo wa kuwalipa hela zoote hizo inaweza kuwalipa sh ngapi? kwanini mwanzo serikali waseme madai yao ni ya msingi leo yaonekane ya hovo?

Raisi anasema asiyeweza aondoke, je ndio lengo la serikali kusomesha wataalamu wake wa ndani? Madai yoote ya madaktari yanaweza kugharimu sh ngapi? Bilioni 200 zilizotengwa kuwalipa madokta wa kukodi kama wakilipwa madaktari itakuwa imesadia kupunguza tatizo kiasi gani?

Madai ya Madokta ni kwa ajili yao wao leo na maslahi yao au ni kwaajili ya kada ya taaluma yao na kizazi kichajo? Nje ya mgomo wagonjwa wangapi hufa mikononi mwa madaktari kwa kuwa daktari kashindwa kumpa tiba kwa ukosefu wa madawa na vifaa hospitalini?


Mnisamehe nawaza kwa nguvu ti sijui hata kwanini.

Imetolewa na baraka Mwago Kupitia Facebook.

soma zaidi Hapa

1 comment:

  1. Mawazo mazito na yenye hekma ndani yake, wanashindwa kuthamin vya kwao wanaona bora wapate gharama mara kumi kuwapa hao wa kukodi. Serikali yetu ni ya ajabu sana na yenye kusikitisha.

    ReplyDelete