CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Wednesday, October 18, 2017

IJUE SHERIA YA MTOTO 2009.

Sheria hii inatoa tafsiri ya mtoto kuwa ni mtu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18
tazama kifungu cha 4(1.

Kifungu cha 158(1)(c) kinakataza kumtumia mtoto ktk maonyesho ya harusi, maonyesho ya mitindo ya nguo au maonyesho mengine yoyote yanayofanana na hayo wakati wa usiku.

Adhabu ya kukiuka kifungu hicho inatajwa kuwa ni faini isiyopungua tshs 500,000/= au kifungo cha miezi 6 au vyote kwa pamoja, tazama kifungu cha 158(2).

Kwa tafsiri ya sheria hii ni kosa la jinai kuwatumia watoto kama mastage show, nk. katika sherehe mbali mbali nyakati za usiku. Watoto wanaweza kutumika tu nyakati za mchana.

No comments:

Post a Comment