
Baadhi ya wazee wasio jiweza wa kambi ya wazee ya funga funga, maisipaa ya morogoro wakiwa na majonzi baada ya juzi (Aprili 5) kutokea vifo vya wenzao wawili, Alfonce Amoni (90) na Mohamed saidi (70) inadaiwa waliuawa na mzee mwenzao Afred kategule (75)

No comments:
Post a Comment