Hivi karibuni mnamo tarehe 14/06/2009 itakuwa ni siku ya uchangiaji damu ambayo kitaifa itaazimishwa mkoani mbeya.
swali la kujiuliza ni kwamba damu tunatoa bure lakini kwanini tunauziwa na hawa wanao jiita wahudumu wa afya. kulingana na utafiti ulio fanywa na blog hii umebaini kuna tatizo kubwa sana katika usimamizi wa matumizi sahii ya damu hizo.
HIVYO TUNAOMBA/PENDEKEZA UWEKWE UTARATIBU MZURI WA KUHAKIKISHA DAMU INATOLEWA BURE NDO UHAMASISHAJI WA KUCHANGIA DAMU UPEWE KIPAUMBELE.
No comments:
Post a Comment