CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Thursday, October 8, 2009

OFISI ZA WALIMU WA SHULE MPYA ZA SEKONDARI ZINAZO ITWA ZA KATA ZINAMILIKIWA NA SERIKALI AU WATU BINAFSI?

jamani imeni bidi nihoji juu ya hili baada ya kuzitembelea shule zaidi ya tatu kwa lengo la kuwalipia ada baadhi ya watoto wanao soma kwenye shule hizo cha kuskitisha ni kuwa kila shule niliyoenda niliambiwa mkuu wa shule hayupo hivyo malipo hayawezi kufanyika mpaka mkuu hawepo, kama haitoshi hata muhuri wa shule kuupata ni ishu kubwa kwani hata huo unakuwa umefungiwa. sasa swali linakuja mwakimu akitoka na ofisi zina toka? kama hivyo ndivyo kwanini walimu wakuu wasaidizi washule wanawekwa.

No comments:

Post a Comment