
Mfumo wetu wa elimu haumfanyi mhitimu aweze kujitegemea. Ni mfumo unaotaalumisha bila kutalaamisha. Hii inafanya vijana wanaohitimu masomo yao wasiweze kujitegemea kikamilifu nje ya mfumo rasmi wa ajira. Nipeni ridhaa October 31 tutekeleze ilani yetu. Dr. Willibrord Slaa
No comments:
Post a Comment