
hii tumeikuta nje ya hospital moja inayo dili na masuala ya ukimwi swali ni je? sindano hii ikimchoma mtu nani wa kulaumiwa? shime shime kwa watoa huduma wa afya jitahidini kuhifadhi vifaa mnavyotumia sehemu zinazohusika ili kulinda afya za wateja wenu.
No comments:
Post a Comment