
Kutokana na kupanda kwa gharama za vyumba kila kukicha, watu wamekuwa wakilazimika kuhama kila baada ya mkataba wao wakwanza wanaokuwa wameuweka na wenye nyumba kuisha, wakiongea na mwandishi wetu baadhi yao wamekuwa wakidai kuwa wenye nyumba wanapandisha kodi bila kufanyia marekebisho ama maboresho ya nyumba zao ili ziandane na hadhi ya bei wanazo zipandisha.
No comments:
Post a Comment