CONTACT US: Mobile : 0755 484866 EMAIL : socialworkertz@yahoo.com
Tuesday, April 12, 2011
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Katika hotuba yake ya kuadhimisha miaka 34 ya Kuzaliwa kwa chama cha Mapinduzi Mwenyekiti wa CCM Taifa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete alisema kuna haja ya kujivua gamba ili kuwa na mvuto mpya katika jamii ya watanzania.Ni majuzi tu secretarieti ya chama cha mapinduzi na kamati kuu zimejiuzuru ili kumpa nafasi mwenyekiti wa Taifa kuunda upya chama hicho habari hii ni kwa hisani ya mtandao.
No comments:
Post a Comment