
Watanzania wenzangu mmeyaona matokeo ya kura za chuki kwa kuchagua wabunge wasio na hekima na busara ya kujua wanachokifanya na kuheshimu nafasi zao na dhamana ya uwakilishi tuliyowapa.Hili kwetu liwe dalasa kwa kuona kilichojiri jana bungeni na kukichukulia kama ni aibu kubwa
IMETUMWA NA MDAU Gabriel Gregory Ishole
No comments:
Post a Comment