
picha ya pamoja na watoto
Sherehe ya siku ya kuzaliwa muigizaji wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel iliyofanyika Oktoba 27, mwaka huu katika Viwanja vya Leaders Club ilifana vilivyo.
Katika sherehe hiyo, Aunty alikula chakula cha mchana na watoto yatima 65 wanaolelewa kwenye Kituo cha Umrah Orphanage kilichopo Magomeni Mikumi jijini Dar.

Aunty akisaidia kufungua shampeni na mmoja wa watoto hao.

Aunty akiwasha mshumaa.
BLOG YA USTAWI WA JAMII INAMPONGEZA AUNT EZEKIEL KWA KUWAKUMBUKA WATOTO YATIMA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA. "PONGEZI AUNT EZEKIL" KWA KUTIMIZA MIAKA KADHAA NA KWA KITENDO KIZURI ULICHO KIFANYA.
No comments:
Post a Comment