JE! Wewe ni miongoni mwa watu walio soma na kuhitimu mafunzo yako katika chuo cha ustawi wa jamii?

Kama jibu ni ndio tunaomba ututumie taarifa za mahali ulipo, unashughulika na nini, na changamoto gani unakutananazo katika utendaji kazi wako wa kila siku. tutumie kwa email ya socialworkertz@yahoo.com

Kwa kufanya hivi utakuwa umesaidia kuwatia moyo na kuwapa mwanga watu walioko chuoni.
PAMOJA TUNAWEZA
"TUNATANGULIZA SHUKURANI"
No comments:
Post a Comment