
Bwana huyu pichani ambaye jina lake halikupatikana akiwa amembeba mkewe akimpeleka hospitali.
UMASKINI ni gharama isiyoelezeka. Kamera yetu ilimnasa jamaa huyu ambaye jina lake halikupatikana akiwa Mtaa wa Nunge Manispaaa ya Morogoro akiwa amembeba mkewe mgongoni akimpeleka hospitali baada ya kuugua na kushindwa kutembea.
Umaskini ni gharama. Watu waliomshuhudia walionekana kushikwa na simanzi lakini wao wakiwa maskini pia, walishindwa kumpa msaada wowote.
Habari kwa hisani ya globalpubrishers
No comments:
Post a Comment