CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Thursday, February 25, 2016

UKATILI WA MTOTO


Baba mmoja wilayani Mpanda amemchoma mtoto wake vidole vya mkono wa kushoto akimtuhumu kukomba mboga yote yenye thamani ya sh 500.

Mtuhumiwa amekamatwa kwa mahojiano na anatarajiwa kufikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi wa awali wa shauri lake kukamilika.

No comments:

Post a Comment