CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Wednesday, April 6, 2011

MIPANGO MIJI NCHINI TANZANIA

Kwa mwendo huu wa kuwaruhusu watu wajenge nyumba bila mpangilio hatutakaa tupate miundo mbinu bora ambayo itakuwa na manufaa kwa maisha yetu ya kila siku na pale panapo tokea majanga kama ya moto, mafuriko na hata mfumo wa maji safi na maji taka. Hivyo tunawaomba watu wa wizara husika kushughulikia haya matatizo katika maeneo ambayo hayajavamiwa na watu ili kuwe na miundo mbinu safi.

No comments:

Post a Comment