CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Tuesday, April 5, 2011

NJIA IENDAYO LUPAULO SHULE YA SEKONDARI MAKETE.

Karne ya 21 njia ya kwenda shule matope tupu na hiyo ni mvua ya siku moja, na karavati sijui daraja bovu kabisa hata magari hayafiki shuleni kabisa Je mwalimu kutoka mjini atavutiwa kwenda kufanya kazi sehemu hiyo?




Taarifa hii ni kwa hisani ya dada yetu mpendwa Opportuna Makero

No comments:

Post a Comment