Miaka 40 ya Hisani kutoka Quba
Haya sio magofu ila ni madarasa wanayosomea wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Ifakara a.k.a MACHIPI secondary
Baadhi ya Mabweni ya Shule ya Wasichana Ifakara ambayo ilijengwa miaka 40 iliyopita kwa msaada wa Serikali ya Cuba.
how can you let the students stay in this awkward environment and you expect them to perform seriously you gat change the situation most especially the buildings
ReplyDeleteMungu wangu,nimesoma hapo wakati headmaster Mtui,shule inataka ukarabati mkubwa.
ReplyDeletePlease let me know if you went to Ifakara during those glory days whem Mr. Muti and Makwinya were the headmaster and assistant Respectively. Our class was the first to sit for the national exams in 1979. I always wanted to be in touch with my classmate. I can be reached at Sakdo2@aol.com.
ReplyDeleteThanks