CONTACT US: Mobile : 0755 484866 EMAIL : socialworkertz@yahoo.com
Monday, May 23, 2011
VIPAJI VIKIENDELEZWA VITAKUA
Mtoto akiwa kwenye ubunifu wakutengeneza gari, kipaji kama hiki kikiendelezwa vyema toka utotoni, kwani hata yule mgunduzi wa magari aina ya Ford alianza hivi kwahiyo hakuna njia yeyote mbadala zaidi ya kukikuza na kuendeleza hiki kipaji.
No comments:
Post a Comment