CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Wednesday, June 15, 2011

KAULI MBIU SIKU YA MTOTO AFRICA



Siku ya mtoto wa Afrika ambayo huazimishwa kila ifikapo Juni 16 iliasisiwa kutokana na mauaji ya watoto yaliyofanyika Afika ya kusini katika eneo la Soweto mwaka 1976 kutokana na kudai haki yao ya elimu kwa mwaka huu kauli mbiu yake ni
"TUUNGANE KWA PAMOJA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA KUSHUGHULIKIA SUALA LA WATOTO WANAOISHI MITAANI"

No comments:

Post a Comment