
Binti ambaye jina lake halikufahamika mara moja ila anafanya kazi katika ofisi moja iliyoko maeneo ya temeke amekutwa amevaa hereni alizo zitengeneza yeye mwenyewe kwa kutumia nembo ya tigo, na alipo ulizwa alisema anaupenda sana mtandao wa tigo Japo hakutaka kuweka wazi sababu za kuupenda mtandao huo.
No comments:
Post a Comment