CONTACT US: Mobile : 0755 484866 EMAIL : socialworkertz@yahoo.com
Monday, July 4, 2011
BASATA MNAUSIKA MOJA KWA MOJA KATIKA UVUNJWAJI WA MAADILI NCHI HII
PICHA INAMUONYESHA MSANII WA BONGO MOVIE WEMA SEPETU AKIWA ANATOKA JUKWAANI BAADA YA KUTUMBUIZA KWA PAMOJA NA MPENZI WAKE DIAMOND KWENYE TAMASHA LA FIESTA LILILO FANYIKA JANA MJINI MOROGORO. JE HUU
ni upuuzi unaofunguwa macho kwani hayo mavazi ndiyo yanayotuharibia watoto wetu vilevile si miongoni mwa mavazi yetu ya kitanzania
ReplyDelete