
Kumekuwa na mazoea hasa katika nchi zetu za africa juu ya nani ana jukumu la kumlea mtoto, mara nyingi watu wengi wamekuwa wakisema jukumu hilo ni la mama na kupingana vikali na wale wanao sema hata akina baba nao ulea watoto kwa namna moja au nyingine. Utafiti wetu umeonyesha kuwa jamii nyingi hasa za wakulima wamekuwa wakigawana majukiumu haya sawa sawa.
No comments:
Post a Comment