maadhimisho ya siku ya maralia ndio hayo yanakuja lakini je yana tukumbusha nini sisi watanzania, hapa nataka msaada wa wazee wa takwimu, hivi kati ya ukimwi na maralia ni ugonjwa upi unaoongoza kwa kuua watu wengi nchini kwetu? na kwanini vita ya maralia sio kali kama ya ukimwi? tafakari kisha nipe jibu.Naomba kuwasilisha mdau (sadath)
No comments:
Post a Comment