
kuna dhana imejengeka ndani ya jamii yetu kuwa ustawi wa jamii ni kwa ajili ya kusuruhisha matatizo ya ndoa na kuwasaidia walemavu wasio jiweza, kimsingi ni sawa ila jamii inapaswa ielewe kuwa ustawi wa jamii ipo kwa ajili ya kuwa saidia watu najamii nzima kwa ujumla ili kuwawezesha / kuwapamwanga nijinsi gani wanaweza kuyatatua matatizo yao.
hivyo basi wananchi inabidi wajifunze kuzitumia huduma za ustawi wa jamii kuanzia ngazi ya wilaya ili wapate ufumbuzi wa matatizo yao.
No comments:
Post a Comment