
Nguvu nyingi zimeelekezwa kwenye mapambano ya vita dhidi ya ukimwi na kuwaacha akina mama na watoto wadogo wakiteseka kwa maralia na wanawake wakiteseka kwa festula.
WAKATI akina mama wakiteseka na kuwa na nyuso zilizo tawaliwa na upweke pamoja na huzuni wakiamini maradhi yanayo wasibu hayana tiba kulingana na uelewa mdogo walio nao juu ya ugonjwa walio nao mfano festula. wakati wakina mama wengi hawajui chanzo ni nini na utakuta mtu anakaa na tatizo mwaka mzima jambo linalo mpelekea kuanza kunyanyapaliwa na wanajamii wanaomzunguka. hivyo tunaomba nguvu kama zinazoelekezwa kwenye mapambano dhidi ya ukimwi zielekezwe na huku pia ili watu wasiogope kutafuta matibabu maana festula inatibika.
No comments:
Post a Comment