SIKU YA KESHO ITAKUWA INA ADHIMISHWA SIKU YA AKINA BABA, HAPA NCHINI ITAFANYIKA KWA MARA YA KWANZA NA KATIKA AFRIKA ITAKUWA NI NCHI YA TATU KUADHIMISHA SIKU HII, LAKINI MAADHIMISHO YA SIKU HII YA NAKUJA WAKATI KUKIWA NA MALALAMIKO AMBAYO YAMEENZA KUTOLEWA NA AKINA BABA KUWA WANANYANYASWA NA WAKE ZAO, SASA SIJAJUA KAMA UWEPO WA SIKU HII UNALENGA KUWASAIDIA WANAONYANYASWA AU KUTUPA MWANGA JUU YA MALEZI NA UBORESHAJI WA FAMILIA ZETU ILI TUWEZE KUPATA FAMILIA ZILIZO BORA NA ZENYE KUKIDHI MATAKWA YA TAMADUNI ZA MTANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA.
TUSUBILI TUONE NA NINAWAOMBA KWA ATAKAYE PATANAFASI TUFIKE PALE BIAFRA KINONDONI ILI TUONE KIPI KITAFANYIKA.
No comments:
Post a Comment