CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Thursday, July 9, 2009

WATU WAAMKE KWA KUFANYA KAZI ZA KUJITOLEA KATIKA JAMII


Watanzania tunapaswa kuamka na kuanza kufanya kazi zenye kuisaidia jamii kwa kujitolea kwanza bila kuangalia tutalipwaje na tuytalipwa na nani, jambo la msingi ni sisi kujipanga vizuri tukishirikiana na serilkali zetu za mitaa, vijiji na wilaya kwa kuweka mikakati ni jinsi gani tuisaidie jamii yetu. kwamfano utakuta wapo watu wanaamka na kushinda vijiweni wakisogoa toka asubuhi mpaka jiono. jamani hebu tubadilike kidogo baada ya kushinda vijiweni twende kwa viongozi wa serikali tuangalie tunaisaidiaje jamii ya watu wasio jiweza mfano wagonjwa walio lala majumbani, watoto yatima, na hata miradi ya maendeleo. tokea hapo tutapata uelewa na mwisho wa siku twaweza pata ajira kupitia shuhuli hiyo.

No comments:

Post a Comment