
Kuna mada imejitokeza kutokana na utafiti mdogo ulio fanywa na blog hii, imeonyesha kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanatumia maziwa kama anasa na wala si sehemu muhimu ya chakula cha chao.
hii imetokana na kuwa tamaduni nyingi za kikwetu haziamasishi utumiaji wa maziwa isipokuwa kabila moja tu la kimasai.
jaribu kuliangalia hili kisha tutumie maoni yako hapa chini.
No comments:
Post a Comment