
IMEZUKA TABIA YA WALE WAFANYAKAZI WA NDANI KUWAFANYIA VITENDO VISIVYO FAA WATOTO WA MABOSI WAO, UTAFITI TULIO UFANYA UMEONYESHA KUW WATOTO WADOGO WANAPATA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA MBALIMBALI TOKA KWA HAO WAFANYAKAZI, MFANO DADA MMOJA AMESEMA YEYE HUWA ANAPEWA MTOTO MDOGO USIKU WA MANANE NA MABOSI WAKE KISA MTOTO ANALIA NA YEYE KITU ANACHO FANYA ILI MMTOTO AACHE KULIA ANAMNYONYA ULIMI HIVYO WANAKULA D...,
MWINGINE AMEDAI HUWA ANAUCHEZEA UCHI WA MTOTO WA BOSI WAKE KAMA NJIA YA KUMYAMAZISHA JAMBO LINALO PELEKEA YULE MTOTO KUMPENDA SANA.
MWINGINE AMEDAI KUWA MTOTO WA BOSI WAKE KAVUNJA UNGO HIVYO AMEKUWA AKIMUELEZA YEYE KILA KITU MAANA ANAONA NDIYE MTU WAKE WA KARIBU KULIKO WAZAZI WAKE MAANA HUWA APATI NAFASI YA KUONGEA NAYE, CHA AJABU NI BINTI WA MIAKA KUMI NA ANAMUELEZA HAYO MABO MFANYAKAZI WA KIUME JAMBO AMBALO LINA WEZA KUWAINGIZA KATIKA UHUSIANO WAKIMAPENZI SAA YEYOTE.
HIVYO TUNAWAOMBA WAZAZI KUWA WANGALIFU KWA WANAO KATIKA SUALA ZIMA LA MALEZI ILI KUWEZA KUTOA JAMII BORA NA KUMOKOA MTOTO NA HATARI INAYO MKABIRI.
No comments:
Post a Comment