CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Thursday, August 20, 2009

imani za uchawi za tawala manzese

mkazi wa manzese bi subira si ogopi akiongea na mwandishi wa blog hii kuhusu sakata zima la mzimu, ambavyo maelezo yake yalikuwa hivi: yapata wiki mbili sasa hapa mtaani kwetu tumekuwa tukitokewa na mzimu unaokuja kwa staili ya kuwa kama karatasi na baadae hugeuka na kuwa nyoka, tayari umeisha wazulu zaidi ya watu nane na saba kati yao wamefariki mmoja ndo kalazwa hospitali yuko hoi. baada ya kuona hali hiyo tukaamua tumuite dr manyaunyau ili aje atusaidie kumtoa na hali ilikuwa kama mnavyo ona. alipo ulizwa kwanini hawakuwaita viongozi wadini wamewaita waganga wa jadi amesema kuwa kikao cha wananchi ndicho kiliamua.

mpaka mwandishi wetu anatoka eneo la tukio dr manyaunyau alikuwa akiendelea na jitihadaza kumtoa huyo nyoka. umati ulikuwa mkubwa kama mnavyo ona hapo juu ila tutazidi kuwaleteeni habari nini kinaendelea.

No comments:

Post a Comment