CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Friday, October 30, 2009

WAKATI WABUNGE WANALILIA KUCHOTA MPAKA POSHO ZA SEMINA HEBU ANGALIA MAISHA YA WATANZANIA HAWA

HII NI SEHEMU YA KUOGEA NA INATUMIWA NA WATANZANIA WENZETU





HAWA NI WATOTO WASIO NA UHAKIKA WA KUPATA MILO MIWILI KWASIKU





HII NYUMBA UKIJA UPEPO TU KIMEELEWEKA, ZINGATIA ELININO IKO NJIANI



NA HILI LINATUMIKA KAMA JIKO ZINGATIA WANATUMIA NISHATI YA KUNI

SWALI : je tutafika?



No comments:

Post a Comment