CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Friday, March 5, 2010

HAYA NAYO YA MWANZA


Mtoto alikutwa akitafuta riziki kwa njia ya aina yake (pekee) sasa swali linakuja wajomba, mashangazi, bibi, babu, baba na mama wadogo, dada na kaka ndugu na majirani pamoja na jamii kwa ujumla, si jambo la busara kumuacha mtoto mdogo kama huyu akakosa haki zake za msingi. hebu jiulize kesho ikija kutokea kwa wanao wakati wewe haupo duniani tena unahisi itakupendeza?
LA HASHA YATUPASA TUBADILIKE NA TUIPENDE JAMII INAYO TUZUNGUKA.

No comments:

Post a Comment