CONTACT US: Mobile : 0755 484866 EMAIL : socialworkertz@yahoo.com
Thursday, March 4, 2010
TUNAITAJI FIKIRA PEVU
Kuazimisha kitu chochote kwa mbwembwe za maandamano na shamlashamla bila kuwa na utekelezaji juu ya suala lililotiliwa maanani, haito tusaidia katika kuleta mabadiliko ya kiutendaji ndani ya jamii zetu.
Tatizo ni kwamba tunataka tuonekane kwenye vyombo vya habari lkn hatuna nia na malengo thabiti ya jambo husika. Ndiyo maana hata kiongozi akiandaa karamu kwa watu wenye matatizo mbalimbali anaita waandishi wa habari ili wamrushe hewani lkn hafanyi jitihada endelevu za kuwasaidia hao watu
Tunahitaji kubadilika. Mbona wakubwa wakiandaa karamu kwa kundi fulani la wasiojiweza mfano watoto wa mitaani wanaita waandishi wa habari wawawrushe hewani!!! Lengo wajulikane lkn hawana nia thabiti ya kundi husika dhumuni lao kuu ni kujitanagaza!
Tatizo ni kwamba tunataka tuonekane kwenye vyombo vya habari lkn hatuna nia na malengo thabiti ya jambo husika. Ndiyo maana hata kiongozi akiandaa karamu kwa watu wenye matatizo mbalimbali anaita waandishi wa habari ili wamrushe hewani lkn hafanyi jitihada endelevu za kuwasaidia hao watu
ReplyDeleteTunahitaji kubadilika. Mbona wakubwa wakiandaa karamu kwa kundi fulani la wasiojiweza mfano watoto wa mitaani wanaita waandishi wa habari wawawrushe hewani!!! Lengo wajulikane lkn hawana nia thabiti ya kundi husika dhumuni lao kuu ni kujitanagaza!
ReplyDelete