CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Saturday, March 13, 2010

USTAWI WA JAMII WAJA NA MAVAZI MAPYA


Mdau wa fani ya ustawi wa jamii akiwa amevalia tishert yake yenye ujumbe usemao "FOR HUMAN TOUCH CALL A SOCIAL WORKER" hii ni moja wapo ya maandalizi kabambe ya social workers day ya mwaka huu. kwa habari zaidi za maandalizi ya siku hiyo tutawaletea siku zinavyo kwenda.

No comments:

Post a Comment