CONTACT US:

CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com

Thursday, June 24, 2010

SERENGETI CHAGUO LA WATOTO



uchunguzi uliofanywa na wana ustawi wetu umebaini kuwa tangazo la serengeti lilifanya kazi zaidi kwa watoto zaidi ya watu wazima, ndio maana ukitoka kwenda kutembea na mtoto ukimuuliza unataka nini anajibu haraka anakwambia "CHUI/SERENGETI".
je wanao wanaipenda serengeti?

No comments:

Post a Comment