
Nimekuwa nikitizama hapa mjini kila ukimaliza mataa unakutana na kituo cha daladala sasa si elewi unatoka kwenye two way una kutana na one way sasa utawezaje kumudu kupunguza foleni ujaweka mikakati sahii, ebu watu wa miundo mbinu waliangalie hili then tuone.
No comments:
Post a Comment