Hivi umewahi kujiuliza kuwa kama ukiamka asubuhi ukakuta mzoga mbele ya mlango wako utafanyaje? mi naamini utaenda kuutoa ili mambo yaende sawa, hivyo basi tufanye hivyo hata kwa watoto walio jiajiri kwa njia mbali mbali kama kuomba, kuosha magari n.k, na hawa watoto waweza kuwa wa ndugu, jamaa na majirani wanao achwa wakiwa yatima au kwa ufukara ulio kithiri walio nao ndani ya familia. si jambo la busara kumuacha mtoto asiende shule wakati sisi tunamwaga pesa kwenye bendi za wakongo, rusha roho na vile vile tunatoa fedha nyingi kwa ajiri ya michango ya harusi. "TUKIAMUA TUNAWEZA" tubadilike tuache kuiachia serikali yetu mzigo tuaoweza kuubeba. PICHA KWA HISANI YA MICHUZI JR. ukitaka kumtembelea bofya hapa
CONTACT US:
CONTACT US:
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com
Mobile : 0755 484866
EMAIL : socialworkertz@yahoo.com
Tuesday, June 8, 2010
TUPINGE AJIRA KWA WATOTO
Hivi umewahi kujiuliza kuwa kama ukiamka asubuhi ukakuta mzoga mbele ya mlango wako utafanyaje? mi naamini utaenda kuutoa ili mambo yaende sawa, hivyo basi tufanye hivyo hata kwa watoto walio jiajiri kwa njia mbali mbali kama kuomba, kuosha magari n.k, na hawa watoto waweza kuwa wa ndugu, jamaa na majirani wanao achwa wakiwa yatima au kwa ufukara ulio kithiri walio nao ndani ya familia. si jambo la busara kumuacha mtoto asiende shule wakati sisi tunamwaga pesa kwenye bendi za wakongo, rusha roho na vile vile tunatoa fedha nyingi kwa ajiri ya michango ya harusi. "TUKIAMUA TUNAWEZA" tubadilike tuache kuiachia serikali yetu mzigo tuaoweza kuubeba. PICHA KWA HISANI YA MICHUZI JR. ukitaka kumtembelea bofya hapa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment