
Kila mtu anajukumu la kumlinda na kumtunza mtoto kulingana na mazingira na hali unayo mkutanayo mtoto usimuache mtoto akungua moto kwa uji au maji moto kisa mama yake ajamuona. tunahitaji kuwa makini ktika hili maana mtoto ajui alitendalo hivyo yatupasa kuelewa kuwa "mtoto ni wa kwetu sote".
No comments:
Post a Comment