
Ndugu mjengwa, kwanza pole na kazi za kila siku za kutupa habari kwa njia ya blog. tunakaribia uchaguzi mkuu ambapo kila mtanzania kwa njia moja ama nyingine atatakiwa atimize haki yake ya msingi kwa kuchagua kiongozi bora atakaye mletea maendeleo!!! lakini kwa hali kama hii kwanini nipige kura??? picha hii ni kutoka Bugarama-ngara kagera.
habafi kwa hisani ya mjjengwablog
No comments:
Post a Comment