
Akiongea na Blog hii kwa njia ys simu toka lindi Mr Uweso amelalamikia kitendo cha serikali na wana harakati wa kupiga vita ugonjwa wa maralia kwa kugawa vyandarua kwa Mama wajawazito na watoto wachanga ni sawa na kulitenga kundi linalo baki hasa wajane na vijana wadogo ambao hawana vyanzo vyovyote vya mapato na kuwambia kuwa wao wanastaili kufa kwa maralia.
Ameeleza kuwa kwa sasa watu wa kusini hasa vijana wadogo wanaongoza kwa kushika mimba ili waweze kupata vyandarua hivyo.
No comments:
Post a Comment