
Hivi unapoamua kumtesa mwenzio kwakuwa tu unajua hata afanye nini hato weza kukulipiza unakuwa hutendi haki maana unamsababishia mwenzio msongo usiokuwa wa lazima. embu fikiri umelala unaota picha iliyoko hapo juu hicho kitendo unafanyiwa wewe utajisikiaje? hivyo basi hatuna budi kuibadili mienendo ya maisha yetu ili kuweza kuleta ustawi kwenye familia na jamii inayo tuzunguka kwaujumla.
No comments:
Post a Comment