
Sera ya tanzania inasema shule ya msingi bure, ila michango inayo tozwa shuleni na ni yalazima sio chini ya shilingi 35000 pesa ya kitanzania, sasa umeibuka mchango mpya ambao ni wa kutoa tofari, hapa kila mtoto anapaswa kupeleka tofali shule hivi kweli tutafika kwa namna hii?
Kilio hiki tunakipeleka kwa serikali na wadau wa elimu Tanzani hembu tujaribu kuwa wazalendo acheni kuwa wabinafsi.
MUNGU IBARIKI TANZANI MUNGU IBARIKI TANZANI.
No comments:
Post a Comment